Recent content by Alex Xavery

  1. Alex Xavery

    Lwakatare kustaafu Siasa: Kutoka Bukoba Manispaa Ofisi ya Mbunge 2015-2020

    Matukio na matokeo ya mkutano wa mwisho wa hadhara katika maisha ya Mh. Lwakatare (Mb) yatakujia kuanzia kesho na siku zinazoendelea yakiambatana na historia yake ya kisiasa kuelekea kustaafu kwake siasa za ubunge mwaka huu 2020. Andaa MB's za kutosha. Nawatakia usiku mwema. Kutoka Ofisi ya...
  2. Alex Xavery

    Organic Farming (Kilimo Hai)

    Aksante kwa kujali, nakusubilia kwa hamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Alex Xavery

    Organic Farming (Kilimo Hai)

    Nimenuia kufanya kilimo hai, ninazo ekari 3 za ardhi kwa ajili ya mbogamboga na matunda, gharama za mbolea na dawa asili ni kubwa na upatikanaji wake ni adimu kiasi wakati kwa masoko ya ndani walaji hawajui kutofautisha, ili nimejipanga kufanya promo ya kutosha nikiamini wenye uelewa watapenda...
  4. Alex Xavery

    Nimechoka na kazi ya ualimu!

    Usiache kazi kabla hujapata kazi.
  5. Alex Xavery

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Cret linabeba kilo ngapi?
  6. Alex Xavery

    Drip Irrigation System

    Mnakopesha?
  7. Alex Xavery

    Drip Irrigation System

    Kuna kampuni yoyote inakopesha hii drip irrigation system kwa eneo dogo kuanzia nusu ekari?
  8. Alex Xavery

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Bro nakutafuta, naomba namba yako, nimekucheck inbox. Please
  9. Alex Xavery

    Katazo la upimaji wa mbolea Serikali mnatesa wakulima

    Hapa na mimi nimeelewa, suruhisho ni viwanda kufungasha walau kuanzia kilo 5, 10, nk..
  10. Alex Xavery

    MULA watatuumiza sana watanzania

    Kwa hiyo wanafanya kazi na serikali!?
  11. Alex Xavery

    MULA watatuumiza sana watanzania

    Umakini upi mkuu!? nimeshawishiwa na mtu wangu wa karibu na sikuwahi kuwasikia hawa jamaa
  12. Alex Xavery

    MULA watatuumiza sana watanzania

    Nimepewa taarifa na jamaangu kuwa kuna kampuni inatoa huduma ya manunuzi ya luku na ving'amzi inaitwa Mula, nimefuata menu yao *150*78#, salio langu la M-PESA limekatwa na bado wananiambia manunuzi yameshindikana, nimepiga simu yao ya huduma kwa wateja namba 0755400006 haipokelewi na mara nyingi...
  13. Alex Xavery

    Tahadhari unapolipia huduma kupitia MULA!

    Jamaa wamenipiga na mimi muda huu, nimeelekezwa na jamaangu akidai yeye alihudumiwa juzi, nimemwambia jamaa pesa yangu arudishe
Back
Top Bottom