Recent content by Alex williamu

  1. Alex williamu

    Mwenye Historia ya Umishenari Songea

    Kwenye swala la historia kila mtu anamtazamo wake kwa sababu kila kitu kipo kichwani kumbukumbu zenye ushahidi wa kweli ni chache akija mkristo ataweka yake na akija muislamu kadharika ataweka yake
  2. Alex williamu

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Maisha haya bwana mtu kapiga picha mwaka 1950 ni mzee sijui alizaliwa mwaka gani
  3. Alex williamu

    Ardhi si mali ya Muungano-Zanzibar hairuhusu Watanganyika kumiliki ardhi visiwani

    Siyo ardhi tu hata mgawanyo wa madaraka ni tofauti sana wazanzibar wanafanya lolote bara lakini mtu wa bara ukienda znz unawekewa mipaka
Back
Top Bottom