Recent content by alex mhubiri

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

    Yaani kwa ubongo wako wewe ndio watu mnaotaka kuku wa kisasa anatotolewa leo wiki 2 chakula utakuta hata danadana hujui
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Akili yako ichunguze kama inafanyakazi sawasawa. Hata aliye wahi kuwa rais alikili kuwa huyu mtu ni zaidi ya mtu alafu wewe unasema matope VIP wewe
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Hivi na wewe ulifaulu dalasni?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

    Tuna watu hovyo kabisa katika taifa hili hasa nikimsikiaga wazili flani anavyo msifia mama huwa ninashikwa na kichefuchfu wazili mwenyewe alijiandika kwenye mamoma (au miamba) toka kusini mpaka kaskazini na mashaliki mpaka maghalibi iti achaguliwe rais? Poyoyo kweli
  5. A

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Kufuatia kuongezeka kwa maji Mto Ruvu, Dar hakuna tena mgao wa maji

    Anaupiga mwingi samahani bashiru
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hawezi kuongea sehem yoyote kwani yeye chizi?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

    Inawezekana wewe ndo mjinga kupita wote
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Hongera mkuu sema ukweli na juzi kati hapa kuna mtu anaitwa maharage anasema umeme kutengamaa mpaka 2025 shuma miti
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Wananunua magari ya kifahali na misafara mirefu mpaka unashangaa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bashiru anaongea kama Nyerere

    Hebu lete mtu mmoja tu hapa aliye nunuliwa na bei yake sh. ngapi? Naona na nyie mnaupiga mwingi kama mother hapa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bashiru anaongea kama Nyerere

    Huyu mtu ni mtu na nusu na ndio maana kila kona unasikia makerere ya chawa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

    Wapumbavu wote wanataka bashiru aseme hivyo kweye mkutano ule
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mgao wa umeme ni kwa mkoa wa Tabora pekee au?

    Hahahahaha watu wanamalizia mzigo. Wapumbavu hawa yaani walikuwa hawalali usiku na mchana toka 2015
  14. A

    JamiiForums Tanzania Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

    Jibu hoja mbona mnazunguka?
Back
Top Bottom