Recent content by Alewii bwana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Polisi washafanya yao huko,mkajiangalie
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mkeka ushamwagwa huko
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    tupo wengi asee,tukapambane kitaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duh,wapi io??maana huku Leo imepigwa kata funua mpka watu hawaamini😆😆😅
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri # Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Dah,kweli kazi ipo kwa kweli sijisumbui tena na mambo ya majeshi,nitafanya mambo yangu mengine
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    mimi nimepigwa chini,ila nilitamani sana sana kujua kama wale wa mzee kanituma kama wanaenda na hawa au wana bogi Lao,ili nianze kujisuka mapema
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Watu wamekata tamaa😅
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Aah,nasubiri miujiza na mimi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mh haya mzee baba na sisi tusubiri ziite
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mzee,kwamba hawa wakienda kuna wengine wanazamia wa baba kanituma
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Watu washakula ndoige,hamu yote kwisha😃
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ngoja tusubiri
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Dua nyingi wakubwa,tuwepo kwenye mkeka
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ahsante sana mkuu,Mungu
Back
Top Bottom