Recent content by Alesha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Na mimi nimeshapiga
  2. A

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Pole mkuu...story yako imenigusa sana.Ila huu ni wakati wa kumuomba sana Mungu akusaidie ufanye maamuzi sahihi.Pia jipime moyoni mwako mwenyewe kwanza "JE" bi harusi wa pili na wa kwanza ukiweka mbali matatizo yaliyotokea ni yupi moyoni mwako unamkubali zaidi.....(anavigezo ambavyo ungetamani...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wale Wachaga mmeiona hii

    Sasa mkubwa ulikuwa unataka wakuwekee na majina eti......! then litakalofuata unajua wewe mwenyewe.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wale Wachaga mmeiona hii

    Kitabu chenye majina ya Kichaga na tafsiri zake.Hivi karibuni wanasema watatoa chenye majina ya makabila yote ya Tz.
Back
Top Bottom