Recent content by ALENI WAKALA

  1. ALENI WAKALA

    Mtumishi wa serikali ambaye Take home yake ni around Tsh 450k, 500k na kuendelea, sikia hii

    GROUP LIMECHANGAM KA SANA, BONYEZA HII LINK uJIUNGE WhatsApp Group Invite
  2. ALENI WAKALA

    Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Pole sana mkuu, MUNGU atufanyie wepes, mm Nipo MWAKA Wa 4 hivi, naisho kivyanguvyangu tu
  3. ALENI WAKALA

    Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    POLE SANA NDUGU, MIMI NAPITIA CHANGAMOTO KAMA YAKO, TENA MIMI KUELEWA MPAKA NOONGEE NA MTU FACE TO FACE, NIKIMUANGALIA MDOMONI NA KUHUSIANISHA KILE NACHOKISIKIA, NIMETUMIA ANALOGY HEA6MACHINE ILA HAIJANISAIDIA CHOCHOTE, KIUKWELI NI CHANGAMOTO KUBWA SANA, MIMI NDO NIMEMALIZA CHUO MWAKA JANA...
  4. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    ume YESU sio nabii, yeye ni Mwana wa MUNGU, alikuta ulimwenguni Kwa umbo la kibinadamu kupitia uweza WA roho MTAKATIFU (roho WA MUNGU alimfunika Bi marium ikatokeza mimba) YESU alikuja kuuokoa ulimwengu na dhambi yaani alileta ubatizo WA ondoleo la dhambi, Kwa maana biblia inaoonesha kabisa...
  5. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    MUNGU MMOJA (YESU aliyesema "anipokeaye Mimi ampokea yule aliyenituma", pia andiko linasema "kama hujamkili YESU kuwa mwokozi HUWEZI kaurithi ufalme WA mbingu, maana naye atakukataa mbele za MUNGU Baba MUNGU MKUU, na muumba WA vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Kwa macho ya nyama*
  6. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Jaribu kuelewa, MUNGU NI MMOJA MUNGU BABA, NA NDIYE ALIYEMTUMA YESU KUJA KUHUBIRI NENO LA MUNGU HAPA DUNIANI, NA BAADA YA KUONDOKA KWA YESU MUNGU BABA AKAACHILIA ROHO MTAKATIFU AKAPATE KUISHI NDANI YETU NA KUTUONGOZA KATIKA ILE KWELI ALIYOIHUBIRI YESU. NA ROHO MTAKATIFU TUTADUMU NAYE MPAKA...
  7. ALENI WAKALA

    Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

    sasa hao wayahudi unaowazungumzia wewe wanaishi nchi Gani Kwa sasa? kama hawapo twambie waliishia wapi?
  8. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Acha kufananisha mambo ya MUNGU na Ushoga, kingine kwenye kuhabudu ni wote tunamuahabudu MUNGU ila Kwa njia tofauti, MUNGU Wa wakristo anakataza Ushoga, uasherati, wizi na Kuua nk. VILEVILE kama ilivyo Kwa MUNGU WENU. Ila kuita Binadamu makafiri kisa hawajaabudu dini YENU sio sawa kabisa, Hukumu...
  9. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Nenda kwenye point bhana, Kabla ya ujio Wa waarabu na wazungu, Africa haikuwa na ukristo, na uislamu ulikuwepo Kwa asilimia Ndogo sana Kwa mataifa ya North Africa, ila waafrika wenye asili ya ubantu walikuwa wanaabudi mizimu, na hatakama kuhabudu mizimu haikuwa sawa Kwa modern civilized society...
  10. ALENI WAKALA

    Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    kuwa na dini utofauti sio kosa, mtu KUIAMINI dini yake hajakosea kitu chochote, lakini kutukana wenzako na kuwatia makafiri, ilihali wote tumezaliwa Kwa njia ILEILE sio sawa kabisa. Na kama dini Yako inakuhamru kufanya hivyo Kuna walakini kwenye ukweli WA dini hiyo. pia usisahu kuwa ungekuta...
Back
Top Bottom