Miaka 7 utakua ni ulevi wa madaraka... kwa viongozi walio makini miaka mi 5 inatosha sana kukamilisha sera zao na kufanya mabadiliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakoloni walikuja Africa kutafuta watumwa na kuteka mali na maeneo mazuri yanayovutia...na imeonekana katika nchi zilizokua na fursa hizo zaidi walipigana na kutawala/kuteka maeneo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.