kibo atetee vipi wazazi wakati kawatelekeza watoto wake kawaachia dollar 10,kama kashindwa kutangalia familia yake ndo aangalie nyingine,marekani kakimbia kesi nyie huyu hana analoliweza jamani labda kula kilo 3 za wali alone
mhhhhh jamani huyu mtu kituko kweli haki ya mungu this is seriouse wadau huyu mtu atakuwa na mental disorder hivi mbaba wa 55 yrs anawezaje kujibu hivi nyie jamani msione watu wanatembea huko nje kumbe ni maghalasha uwiiiiiiiii roho inauma utasema ni mwanangu mie,mzee malecela sijui anajisikiaje...
yaani hili li baba kwakweli mie nashindwa kulielewa,hivi kwanini halina akili hata kidogo halafu lilivyo halina haya huwa linaongea mbele za watu kuwa lina ugomvi na dada zake na kuwa ndugu zake wanataka kumdhulumu mali za baba yao hivi katika age aliyonayo huyu jamaa ni ya kugombea mali ya baba...
REST IN PEACE MR BAGUMA,jamani sio vyema kum discuss marehemu kiasi hichi,hii ni njia yetu sote tuwe tumetenda mema au mabaya!!!!tumuombee tu aende kwa amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.