Recent content by Albert Einstein

  1. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Sidhani kama Kuna mtego aliruka, huyu mangi amekuwa akijinufaisha kupitia siasa za chadema Kwa muda mrefu
  2. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Lissu anadai atamwokoa Mbowe na umugabe 😅😅😅😅
  3. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Hii itaonyesha kwamba kuvuliwa uenyekiti wa mkoa wa shinyanga Kwa bwana Ntobi was a calculated move
  4. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Naona JAMBO TV wamesimama kidete na hii mbungi ... ikiwa taarifa za wajumbe ni genuine... Lissu atashinda Kwa kishindo mchana kweupe!
  5. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Pengine amepenyezewa taarifa na "inner cycle ya FAM" au ni hisia zake tu... Tusubiri tarehe 21
  6. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakati ni ukuta! Pengine wengine hatuelewi maana ya busara ... Turudi shule 😃
  7. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Hahahahah pengine unatimia msemo wa "Pesa haiwezi kutatua Kila kitu"
  8. Albert Einstein

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Aliyelipwa - akaajiri watu - kumlinda Mzee, hajafaulu. Terajieni 'vijana wake' kuingia mzigoni leo/kesho. Mzee sees damage - thinks 'vijana' hawamsaidii. Yes, sio rahisi kumnadi Mzee. Tumefikaje hapa? Pesa & tamaa imeua movement. Muhimu ni kuanza upya. Tuko tayari. Aluta! Ameandika wakili...
  9. Albert Einstein

    Fahamu madaraja ya elimu ya juu kwa Kiswahili fasaha

    Masters pia huitwa shahada ya uzamili
  10. Albert Einstein

    Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

    Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
  11. Albert Einstein

    Zitto: Umeme wa Gesi ungezalisha MW 3,500 zaidi ya wa Maji

    Zitto mtaalam wa Electrical engineering 😅😅
  12. Albert Einstein

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Sikujua kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi hiki
Back
Top Bottom