Recent content by Alana

  1. A

    Kujituma ni silaha na kazi iendelee

    Watanzania salamu, ndipo nashika karamu, Naleta jambo muhimu, Fungua zenu fahamu, Umasikini Ni sumu, unaoleta magumu, kujituma ni silaha,na kazi iendelee. Ukilala ni hasara, utaitwa ni fukara, omba omba inakera, kwa wengi unajichora, fanya kazi barabara, kipato kiwe imara, kujituma ni silaha...
  2. A

    Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Hapanaaaa 😁😁😁😁😂😂😂😂 lazma uwe na ofis na unatumia dstv ktk ofis yako
  3. A

    Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Hapana, DStv business imeletwa kwaajil ya ofis, ili tukusajil lazma uhakikiwe kweli una lesen ya biashara au tin number. Hakuna utapel wowote.
  4. A

    Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Kifurushi Cha ofisi
  5. A

    Natafuta kazi ya kuanzia asubuhi mpaka saa 11

    Unaweza kufanya kazi ya sales representatives? Ila malipo Ni commission
  6. A

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Unapatikana wap? Nitafute WhatsApp 0759161254
  7. A

    Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

    Check me through WhatsApp 0759161254
  8. A

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Hongera Sana, upo sahihi
  9. A

    SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  10. A

    SoC02 Mapinduzi katika huduma zetu

    Siku zote inaaminika kuwa mteja ni mfalme. Je ni kweli? Wakati mwingine mteja anaamua kwenda kutafuta huduma sehemu nyingine. Yote ni kwasababu amekutana na maswaibu mengi pindi alipohitaji kupata huduma. Baadhi ya watoa huduma hawana lugha nzuri kwa wateja. Siku moja nilimshuhudia mama mmoja...
Back
Top Bottom