Recent content by Al watan7

  1. Al watan7

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Mafuta yamegundulika since 1955 sema hayakua comercial viable wakati ule sasa yapo viable. ..
  2. Al watan7

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Ilikuwa moja kati ya kero za muungano sasa imepatiwa uvumbuzi kila upande ijitegemee upande wake interms of exploration , extracting and revenue collection thus hii mipaka ni vizuri ikajulikana ili kila mamlaka ijue kingo zake.
  3. Al watan7

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Not any more, it used to be la Muungano
  4. Al watan7

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kwa mazingira ya sasa Rais ndio mmiliki wa ardhi yote, akiona ni maamuzi ya busara kwa matumizi ya umma basi anazo nguvu kisheria kufuta milki iliopo na kupangia matumizi yanayo faa hata kama ni hati ya mkoloni au ya Sultani bado ana mamlaka nazo. Kwa hiyo huo uuzaji kutoka kwa Sultani kwenda...
  5. Al watan7

    Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Kafutwa! Tafsiri yake kama alivyo yeye haitambui na wao hawamtambui... you ni pamoja na mafao
  6. Al watan7

    Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Muungano wa watu ulikuwepo kabla ya huu unaozungumzia ! Kwa hiyo Muungano ulikuwepo kabla ya 64, UPO , utakuwepo na utaendelea kuwepo tuu.
  7. Al watan7

    Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Miaka 50 ijayo Naam. Na mpinzani bora atatoka ndani ya CCM
  8. Al watan7

    Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Mkuu kupitisha katiba mpya ndio inahitaji kura ya maoni ya wana wanchi na sio marekebisho ya katiba iliopo.
  9. Al watan7

    Zanzibar wabadilisha katiba ya kutowatambua wapinzani

    Hakuna kirusi wala tatizo kule... na wala usiwe na shaka na hayo marekebisho yanaipa Zanzibar hadhi yake tuu.
  10. Al watan7

    Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi

    Kweli alipita UDSM mwaka 1973, walikuwa drafted group ya watu watano kwenye intake yao walisomeshwa na SMZ chini ya Rais Jumbe , Komandòo akiwa katibu wa Fedha ndio aliekuwa akiidhiinisha malipo ya ada zao. Maalim Seif, Dr. Ramadhan Mapuri, Juma Duni Haji na wengine wawili majina yamenitoka...
  11. Al watan7

    Kodi za gari barabarani lisipoingiliwa vizuri linaweza kuwa janga kwa watu wengi

    Mamlaka tafauti kule ZRB huku TRA, waige mfano wao tuu
  12. Al watan7

    Kodi za gari barabarani lisipoingiliwa vizuri linaweza kuwa janga kwa watu wengi

    Ushauri wako wa tatu ni mzuri sana kwani Zanzibar ndio wana practise hivyo mamlaka haigombani na watu wake kuna.
Back
Top Bottom