Recent content by AL-USTADH

  1. AL-USTADH

    Sleep Apnoea

    Nzuri, shukran kwa mada nzuri hasa kwa wale wanaopenda kunenepa unene sio mzuri sana coz una madhara mengi kuliko faida. I hope kwa mada hii itasaidia watu kuelewa moja kati ya madhara ya unene na wenye hali hizo za unene wapite hapa kutupa kutia neno walau. Thanks.
  2. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Shukran mkuu ila matatizo hutofautiana kiongozi yategemea na mtu imemuathiri vipi hiyo hali. Na dawa haipo moja kwa hiyo ngoja tupate majibu toka kwa wagonjwa walioanza tiba ili tuone matokeo yamekuwaje baina ya watu waliotumia tuweze kumshkuru MUNGU kwa sababu yeye ndiye anayemfungua mtu kwa...
  3. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Watu wanataka speed ya 4G aisee.
  4. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Oooh mambo ya kurudi kwenye usichana mkuu...?
  5. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Naam mkuu unalosema ni kweli kabisa kiongozi. Uko sahihi mkuu.
  6. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Ni kweli kabisa kiongozi.
  7. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Naam, huo ndio uchuaji unavyotakiwa kuwa ni waivuta kwa chini hivi. Na hayo mafuta umechanganyaje kiongozi...?
  8. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Sio Hatiti ni Hartiti mkuu.
  9. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Hapana mkuu si kweli ndugu.
  10. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Mkuu, nashkuru kwa kunisaidia kuuliza kiongozi kwa sababu nimeiona hiyo comment yake nikashindwa hata nimuelezeje kwa kweli. Shukran Sana.
  11. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Unatamani kuona maumbile ya mwanaume mwenzako mkuu mbona unanipa mashaka na hali yako kiongozi...?
  12. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Naam. Naam.
  13. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Ni vyema ukaanza tu kiongozi wala hakuna ubaya mkuu. Karibu.
  14. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Kwa siku ukifanya mara moja sio mbaya japo wengine hufanya asubuhi na jioni. Muda wa kufanya ni pale mhusika atakapopata nafasi huru. Baada ya zoezi waruhusiwa kukojoa pale mkojo utakapokubana na sio kuulazimisha utoke japo yashauriwa kujisaidia kabla ya tiba kuanza. Karibu Sana.
  15. AL-USTADH

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Mkuu sidhani kama nimetangaza kitu hapa ila tu nimeelekeza watu ikiwa ni kama mada elekezi wala si mada mjadala japo kumekuwa na mijadala ndani yake. Shukran Sana.
Back
Top Bottom