Recent content by Al-minyo Hassan

  1. Al-minyo Hassan

    Hongera raisi Kikwete

    Bac aende saudi Arabia na akimaliza msafara wake aende pale aka hijj ndo kilichobakia co kukaa tz wakati nchi nyngne zinamuhitaji!ila co mbya kutulia home muda mwengne!safi sana rais wetu.
  2. Al-minyo Hassan

    Suarez v diego costa

    Diego mambo mengne yale huwezi kumfananisha na suarez lambda tena kwambaaali kma cr7
  3. Al-minyo Hassan

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Dah!ss cjui itakua VP maana hpa nilipo nawaza kwa ofisi kesho hlafu ndo mipunduzi
  4. Al-minyo Hassan

    Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!

    Sawa kabisa!ngoja tuone wataufanyia kazi huu ushauri wa bure?
Back
Top Bottom