Recent content by Al assad

  1. Al assad

    JamiiForums Tanzania Ukraine Washambulia Ndege Ya Kisasa Kabisa Na Ghali Ya Urusi Chapa Su-57

    Safi!Imenyesha tumeona panapovuja.katika vita hii yameonekana madhaifu ya Ukraine kama rushwa,ufisadi na undumilakuwili wa raia wake. Pia tumeona madhaifu ya Urusi kama ufikadi,rushwa,udikteta na tekinolojia ya kawaida ya siraha(kuzamishwa meli zao,hypersonic za kubumba) bila kusahau mbinu...
  2. Al assad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada Chukueni Hii: Kuwa wa kwanza katika Game Humdatishwa mwanaume

    Umesema ukweli mtupu!acha wafanyie kazi!
  3. Al assad

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio stendi 10 bora, nzuri na kali kwa Tanzania

    Msamvu bus terminal is the best!
  4. Al assad

    JamiiForums Tanzania YEREVAN: Armenia yajiondoa kwenye Muungano wa Kiulinzi wa CSTO unaoongozwa na Urusi.

    Muongo!Azerbaijan haipo CSTO soma tena.hoja yako ni batili!
  5. Al assad

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Iran ni magaidi.na pia ni wafadhili wa ugaidi,wapigwe kwa gharama zozote!
  6. Al assad

    JamiiForums Tanzania Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Hapa sawa wote wanapigana!Kule Ukraine wale supporters wa Urusi ndio haohao wa hamas nyie ni wanafiki.mimi nasapoti parestina people ila siyo hamas ni magaidi na supporters wao!
  7. Al assad

    JamiiForums Tanzania Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Mkuu unajiliwaza!Hakuwa wa kumpiga myahudi,hapa leo wote munaimba nyimbo moja(palestina wanaonewa).siku za mwanzo hamas muliwaona mashujaa(walipoua watoto,wanawake na wazee)watu kama nyie hamuitaji huruma!
  8. Al assad

    JamiiForums Tanzania Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Hamas ni magaidi wanatumia watu kama ngao,wanahifadhi na kutumia siraha katika makazi ya watu!Wapigwe,sagwe!Magaidi ni watu wabaya!muungwana angeanza kuwalaani hawa anayewatetea ni gaidi pia!
  9. Al assad

    JamiiForums Tanzania Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

    Ukinipiga unanionea ukiniacha uniniogopa.hii imepelekea watu 2700 kuuwawa na wengine 1000 kuwa katika rubble(hamas na wafuasi wake)
  10. Al assad

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel: Hamas bado wana mateka 126, askari wa Israel waliokufa mpaka sasa ni 286

    Mkuu haibadilishi kuwa hamas ni dhaifu na wanakufa kwa wingi pamoja na waliwaweka(poor gazans) hiyo ni furaha bandia hamas wanapoteza miundombinu,watu na ardhi.so propaganda havitasaidia wala kukupa furaha ya kweli(amani na utulivu kwa wagaza)
  11. Al assad

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran ni superpower; tamko moja tu tayari wazungu washaufyata

    IDF wanasema raia waondoke lakini hamas wanasema wabaki,sasa wakifa katika uwanja wa vita nani ataonekana gaidi. Licha ya hayo pia wanahifadhi na kutumia siraha katika makazi ya watu nani alaumiwe! Isitoshe wao ndio wameanzisha vita ngoja Israel wamalize!
  12. Al assad

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran ni superpower; tamko moja tu tayari wazungu washaufyata

    Mkuu wewe nae unaongea kilekile akienda ground utasema anabaka,kuchoma misikiti na kuuwa watoto (rejea vita vilivyopita) Magaidi wa hamas watabeba lawama zote kwa kile walichofanya,wanastahili kuangamia!
  13. Al assad

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran ni superpower; tamko moja tu tayari wazungu washaufyata

    Propaganda hizi,badala ya kuomba amani watu huko gaza wanakufa kwa madozens,wewe unakuja na ngonjera za kujipa furaha bandia(maana najua kwa ndani unaumia na mauaji ya huko gaza na huna cha kufanya) Ingawa mimi nimeumia na mauaji ya pande zote(japo hamas ni magaidi sina huruma nao)
  14. Al assad

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Waparestina wanastahili haki lakini si hamas.watu wa gaza watavuna walichopanda wamelea magaidi sasa wanavuna mazao yake!
  15. Al assad

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Ila ila ya rusia kuzuia maji,chakula na nishati mariupol.bila kusahau kushambulia vituo vya umeme na chakula huko ukraini ni mbinu bora(unafiki ni kitu kibaya sana)
Back
Top Bottom