Recent content by Akutendee mema

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Roho wa Mungu akuongoze katika hilo na isije ikawa katika hali ya kimwili.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Nkamu, angalia na usikilize moyo wako unasema nini juu ya hilo na mwisho wa siku wewe mwenyewe ndiye utakayekabiliana na matokeo yake kulingana na maamuzi yako na hakuna mwingine. Lingine nkamu, watoto uwe pamoja nao, wasiwe mbali nawe. Narudia tena kukushauri, usifanye haraka kuhusu maamuzi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Mkuu, hiyo isikupe shida sana na kuunyong'onyesha moyo wako. Maisha yenyewe haya ni mafupi angalia usije ukapata shida nyingine katika nafsi yako. Nimesoma ushauri mbalimbali wa wadau ambao wameeleza hisia zao mbalimbali na baadhi ya wengine wakishauri umwache. Lakini pia na yeye mkeo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Mfahamu, akufahamu vizuri na usiwe na haraka ya kuingia katika ndoa. Uzuri wake umeshapitia mapito hayo na unafahamu tamu na shubiri ya ndoa mwanawani. Angalia watoto wako Mungu aliokupa kwani hao ndio faraja yako. Kama yeye ana watoto na wewe una watoto, basi muendelee kuishi kama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitajika

    🙏
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Umeshapata? Me I'm serious
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitajika

    Sawa, karibu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anahitajika

    Sawa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Husband Needed

    Mwambie akuje, mi nipo tayari
  10. A

    JamiiForums Tanzania Husband Needed

    Umeshapata?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Kwani na wewe unahitaji
Back
Top Bottom