Recent content by Akumitembwe

  1. A

    Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Unachosema ni sahihi. Sasa sijui hii ndege itatusaidia nini kwa hizo gharama za uendeshaji? More weight more fuel more operation costs high fares no customers. Simple.
  2. A

    Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Nimeamini kujua kiingereza sio kuwa na akili? Unajua ulichoandika aumelipuka tu?
  3. A

    Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Watanzania tuzidisheni maombi tunakoelekea ni kubaya Mungu atunusuru na mabaya. This will be hard to recover from.
  4. A

    Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Huyu 787Blogger amenena jambo lililonipa maswali. Tuendelee kusubiri.
  5. A

    Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

    Ni hoja nzuri sana sema ngumu kutekelezeka kutokana na uelewa wetu watanzania. Mifano chukueni Marekani CEO wa Starbucks alisema atampinga Trump kwa kwenda mexico kuchukua wafanyakazi ikaanza kampeni ya kugoma kwenda starbucks. Wawekezaji wameona wanapoteza hela jamaa imebidi ajiuzulu. Kuna...
  6. A

    Mtawala Alimpenda Msaidizi Wake Mpaka Akaharibu Utawala

    Tatizo hawa huku kwetu hawasikii la kuambiwa
  7. A

    Mimi kama mtumishi wa umma naapa sitakuwa mzalendo tena kuanzia leo

    Kuna jambo limenijia kichwani chama cha wakulima na wafanyakazi kinataka kutuletea maendeleo ya viwanda? Ok
  8. A

    Wakili Wasonga: Nitarudi tena mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi Tundu Lissu

    Muache aende tumjue nae alivyojibashite maana jina lake halisi ni Elia
  9. A

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    aniuzie $25000 nikamtongozee kajala maana kaumbika kweli kweli
  10. A

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Ubashite tu. Mbona hamkushinda jimboni kwako kama wanalalamika anadharau?
Back
Top Bottom