Recent content by aksaf2003

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

    Nikufa na kuzkwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo/mama mdogo

    ninaona ni bora nitioe mfano wa moja ya matatizo ambayo labda yanaweza yakajitokeza ,hivi kama wewe ni baba au mama na ikatokea kuwa na kutokufahamiana hop nyumbani,na ukajaribu kutumia busara ili mzozo huwo usiendele kwa kuamua hilo ukaona ni bura kuondoka hapo kwa muda na kwa kuwa ulijaliwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waswahili tunatawaliwa na waarabu ?

    kwa maoni yangu mimi ili kiswahili kiweze kujitegemea basi lazima kwanza zitafutwe sarufi za kiswahili kama ilivyowezekana kukitoa kiswahili kwenye serufi za kiarabu na kuzileta hapa tulipo sasa, likiwezekana hilo basi tutaweza kupunguza kuwa wategemezi wa lugha zingine na wala sio kiarabu pekee...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waswahili tunatawaliwa na waarabu ?

    kwa maoni yangu mimi ili kiswahili kiweze kujitegemea basi lazima kwanza zitafutwe sarufi za kiswahili kama ilivyowezekana kukitoa kiswahili kwenye serufi za kiarabu na kuzileta hapa tulipo sasa, likiwezekana hilo basi tutaweza kupunguza kuwa wategemezi wa lugha zingine na wala sio kiarabu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo/mama mdogo

    Hivi haiwezekani kuwa na neno moja tu likaweza kuwakilisha hii maana ya baba/mama mdogo, bila ya kurudia neno baba au mama
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa hii itaendelea?

    Ndoa ipo madhambi yame balance
  7. A

    JamiiForums Tanzania Boko haram (nigeria)

    pleas make a point ujinga ulifanywa na wajinga na sasa wajinga wanafanya ujinga hakuna katika maandiko takatifu yanayo halalisha kumua/kudhulumu mwingine na yeyote yule mwenye kuamini kuwa mauji au dhuluma ni sehemu ya imani yoyote ile huyo ni mjinga wa sasa
Back
Top Bottom