Unauhakika kiasi gani kama halmashauri zinazoongozwa na ccm hakuna rushwa. Kabla ya CHADEMA kuongoza halmashauri hizo kuhusu rushwa ilikuwa ni kawaida maana ccm na rushwa ni sawa na ngozi na mwili haviachani. Mfano halisi ununuzi wa ndege za abiria , ujenzi wa standard gauge , airport chato...
Kumbuka utawala huu haufuati sheria watawala wanawezakufanya chochote wanavyoona inafaa. Hao madiwani unaowasema walishawahi kulalamikia kuhusu kupunguzwa posho zao na kunyang'anywa stahiki zao muhimu lkn uvccm mkasema ooh wapiga deal hao .
Leo hii baadhi ya miradi wanapewa wazabuni pasipo...
Huu Uzi umeletwa kiushabiki na kada wa ccm na ndiomaana imelenga kuwachafua CHADEMA hata hivo hawatofanikiwa kufikia nia yao ovu kwa CHADEMA . Haibu kwao ccm
Wazalendo Wa nchi hii wamepaza sauti yao kwa majirani zao kuonesha kuwa nchi yao inaelekea kugawanywa vipande mbalimbali na watu wacheche ambao ni walafi wa madaraka ambao hawapendi kukosolewa bali wao ndio wenye maamuzi yote ya kiutawala ambao pia wamepoka mamlaka ya Mungu kwa kujiita chaguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.