Recent content by Akonaay_Margwe

  1. A

    PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Kwanza lazima tufahamu Rais wa awamu ya Tano alikuwa Mkristo kutoka Tanganyika hayati Dkt. JPM na kutokana na kifo chake Mhe. Dkt. SSH akachukua kiti na nchi hii kuwa na Rais wa Kwanza mwanamke, Muislamu, kutoka Visiwa vya Unguja na Pemba(Zanzibar). Inatarajiwa Mhe. SSH ataendelea na nafasi yake...
  2. A

    Wimbi la vitabu vya kijasusi

    Hongera Hongera Yericko, wengi wetu tutabeza jitihada na mafanikio yako kwa sababu ya wivu, chuki na kutopenda vya kwetu. You're showing the way, keep going
  3. A

    Wimbi la vitabu vya kijasusi

    Kwa maoni yangu ni vizuri kuwa na mtazamo chanya na mawasilisho haya na ikiwa mtu ana mapenzi na maadiko kama hayo bila shaka atajifunza jambo hata kama aliyeandika ni darasa la saba au mwalimu wa chuo kikuu. Mtu anayeandika ni kwamba ameamua kuuweka ujinga wake wazi ili watu wengine waweze...
  4. A

    Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Umenena vema. Kwangu leo ukristo umebaki kama aina fulani ya ustaarabu katika jamii zetu ili uonekane mtu wa maana lazima uwe na dini hasa hizi zilizokuja na meli. Kwa baadhi imebaki kama kinga ya kuzikwa kwa heshima pale atakapokuwa amefariki japo hakuna uthibitisho huko aendako (Mbinguni au...
  5. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kama Mungu ni yuleyule tusingeshuhudia maaskofu wa Makanisa waasisi wa imani zetu nyingi kuhalalisha LGBTIQA zaidi sana wao wenyewe wakioa na kuolewa. Yesu wa sasa sio Yesu yule wa zama hizo, amekubaliana na globalization (In the context of what is happening, no wonder wanabarikiwa Makanisani)...
  6. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ndoa ziko za aina mbili: 1) Ndoa ya Mke mmoja (Mf. Kikristo) na 2) Ndoa ya mke zaidi ya mmoja (Mfano za Kiislamu, ndoa za Kimila na Kiserikali). Aidha, ndoa inaweza kubadilishwa kutoka kutoka aina moja kwenda nyingine isipokuwa ndoa za Kikristo. Options zipo ikiwa mtu hahitaji kufungamana na...
  7. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuoa wake wengi kwa wakristo kunaonekana dhambi kubwa saana yet waliotuletea dini zetu hizi wameachana nazo na sasa wanahamsisha ndoa za jinsia moja. Sisi watu weusi hatuna budi kukaa chini na kujiuliza ikiwa njia tunayoiendea ni sawa, kabla ya Yesu mke zaidi ya mmoja ilikuwa ruksa sawa na mila...
  8. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asante sana Insider kwa muda na kujitoa kwako kutuletea story hii yenye mafunzo mengi. Kuna nyakati kwa sababu ya kukosa mtiririko tutakulaumu, ila hii inakuonesha kuwa story hii inagusa wengi na kutamani kutokosa muendelezo. Once again, thank you so much.
  9. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa maoni yangu Insider anatupa real life story with a bit of fiction ambapo simulizi hii inatupa mafunzo mengi na halisi ktk maisha. Let's appreciate his noble while learning from other great authors
  10. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Suala la kuoa mke mmoja wazungu wametuingiza chaka ndio maana wao wameweka utaratibu wa ndoa za mkataba wakati sie watu weusi tukikomaa na utamaduni ambao sio wetu.
Back
Top Bottom