Mwanamke akishaolewa mambo yoote yanayomshinda ya ndani, narudia tena, yaliyomshinda ya ndani anashtakia ukweni. Otherwise hiyo ndoa inavunjika wakati inafungwa. A man will always be a man, regardless of education or social status.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu; muonye mkeo aache kujadili mambo yenu ya ndani na wazazi/familia yake ya zamani. Ana ishu yoyote inayowahusu, basi aipeleke nyumbani kwenu kwa kwa mama/shangazi/mama yako mdogo. Wataanza na vitu vidogo kama ujauzito baadae utapangiwa na mama mkwe siku za kumdandia mkeo, umlishe...
Ulichokifanya kuwatimua ni sahihi kabisa, kwa kuwa walishakudharau. Hapohapo ukafanya kosa baya sana, kuwaomba msamaha eti ulikuwa tungi!!!! My friend, hakuna anaeweza kunidharau kwangu na akabaki salama. By the way, wewe ni kichwa cha familia au shingo ya familia? Na mkeo anakuheshimu kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.