Recent content by akinyi111

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira na Utumishi wa Umma yaingia doa

    Nlchogundua utumishi inabid usome sanaaa,afu uwe huru kujieleza usijibu kimkatomkato,binafs nlfanya usail nkafika oral ila ckupata kazi,lkn rafik zangu2 tulfanana marks za written,na oral tukaitwa wote wao wamepata,bila kuwa msir,kidhungu kiliniangusha kuna swali nilitetemeka kujibu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu postgraduate diploma in education

    Mwaka mmoja tu,bestie
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu postgraduate diploma in education

    Ndio huwa ni za moja kwa moja miaka yote,lkn kwa tukio la mwaka kukawa na tetes kuwa walimu wataanza kuomba kazi kama watu wengine,ndo wadau wanasubir bunge jipya litoe tamko kuhusu tetesi hizo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

    Hahaaaaa,,,duuu aisee wanakera hawa watu jaman
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

    Mwee hongera kwa waliopata,kwangu majonz tuuu,et walitangaza nafas17,usail wa oral tukapta70,cha kushangaza waliopata kaz watu7 tu,ina maana tuliobak vilaza ndo mana wameshndwa kuchagua hao10 waliobak,,,,,
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    Ndugu zangu,naomba msaada mwenye ufaham usaili kada ya afisa utamaduni,usaili huwa ktk lugha gani,kiswahili au english,maana kuna ubishani baadh ya watu wameitwa wenye degree za kiswahili wengine sanaa,so tunaomba msaada
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa aliyesoma Journalism

    Hahaaaa,,,,mbona mnachachawaa???? Utasema ww ndo mwajiri,,,utashangaa na roho yako sasa,
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa aliyesoma Journalism

    PSYCHOLINGUISTI naona umepanic,as msomi hutakiw kupanic kwa maneno ya jazba,jfunze kujenga hoja,mungu asaidie tukutane kwenye usail,umenhamasisha kutuma apps
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa aliyesoma Journalism

    Ahsante mkuu Akademician
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa aliyesoma Journalism

    Mwenzangu wacha wao ndo watu judge ww na journalism yako mm na kiswahil changu,,,,,kama kwel wanaandaa jarida la watoto naiman hawawez kuacha wenye taaluma ya children literature,nina iman na prof mlokoz,nna iman na taaluma yangu,utunz wa riwaya,tamthiliya,ushair,uandish wa makala,majarida...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa aliyesoma Journalism

    sijasoma journalism,nmesoma shahada ya kiswahili,ambapo nmesomea kozi ya uhariri na uandishi(advanced writing&,editing) wa matini,pia kozi ya fasihi ya watoto(children literature),,,,, vp hapo nnaweza kutuma apps,au kwa waliosoma journalism tuuu????
  12. A

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu

    Hongera mwenzetu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Employment opportunities sikika organization

    Nlitoa hum hum CHIEF JJ
  14. A

    JamiiForums Tanzania Employment opportunities sikika organization

    Wanajamvi naomba kuulza hivi SIKIKA washaita watu kwenye usaili au tangazo lilikuwa fake?????
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ufahamu kuhusu ndoa na talaka

    Wakuu naomba kuuliza, Ikitokea mwanaume kaoa mke ndoa ya kiislam wakaishi takribani miezi 9, wakaamua kuachana, Je mali zitagawanya nusu kwa nusu? Ikumbukwe mwanamke kazikuta mali zote.
Back
Top Bottom