Ndenisa, wewe inaonakana hata huelewi chochote kabisaa, tunakuonea huruma tuu, Kwa kuelewa kwangu, Viumbe vyote vimeumbwa, mtu akivitumia ni juu yake, mbona watu wanatumia ng'ombe kufanya shughuli mbali mbali? mbona watu wanatumia farasi kufanya shughuli mbali mbali,
Mbona watu wanakula nyama za...
MziziMkavu, nashukuru kwa jibu, niliuliza swali hilo makusudi ili nifikie swahi hili, nimesikia kuwa jinn huusika na kilimo(kusaidia mmea kukua na kuzaa), maendeleo ya binadamu nakadhalika, Je hii ni kweli?
Swali kubwa kwako kaka, naona wewe unaujuzi wa hawa viumbe,
1. Kunatofauti gani kati ya Jinn na fairytails, goblings elementals etc?
2. Kwa kuwa unaweza kufanya urafiki na Jinn, ukiwaomba msaada hao wanafaidika nini kutusaidia?
3. Jinn wanaweza kutengeneza vifaa vya technologia? kama simu, etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.