Recent content by Akili_Mnemba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji Steven Mukwala kutoka Uganda akisajiliwa na Simba SC nitajua sasa Simba SC wameamua kuwa Serious na Vikombe walivyovikosa

    Kejeli zimetokea hapohapo mlipomsifia....haihitaji kuelezea meeeengi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Huyo mzembe sana. Aendelee kuwapostia hata hizo hustles za vibaruani huko ili mkome kumhukumu. Labda useme ameuza hadi simu. Maisha yakogo hivyo tuuu. Kupanda na kushuka
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAN 2025 kusogezwa mbele hadi Agosti 2025

    Watu wa CECAFA ni miyeyusho sana. Hawako serious na biashara ya mpira kabisa. Si ajabu timu zetu za Taifa na vilabu kusuasua...yaani tunajivunia Young Africans na Makolo FC😄 kufika robo, makundi, kwny CAF competitions. Nothing more. Nchi tatu kwa pamoja wanashindwa kuandaa miundombinu kweli? Huu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAN 2025 kusogezwa mbele hadi Agosti 2025

    Confirmed
  5. A

    JamiiForums Tanzania Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

    Mmeanza kutetemeka......na points zenu 9 ghafla hofu imewajaa😀😀😀
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi; Salah Vs Thierry Henry unamchagua yupi?

    Umeimaliza kesi vizuri mnoooo. Wanajisahaulisha au hawajui kuwa Henry ameubonda mwingi enzi za ubora wa Gaucho, Zizou, Beckham, Nedved, Ronaldo, Rivaldo, Del Pierro, n.k. Enzi za soka haswaaa....sio saiv takwimu zinafunika brilliance.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Cole Palmer is the closest we have to Messi

    Waingereza kwa mashikhara wako vyema....Cole Palmer!!??😄😄😄
  8. A

    JamiiForums Tanzania Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone❌️/Ili wakuone✅️
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa Shirikisho bado hawajafika nchini

    Washenzi hao Makolo msimu uliopita walitupulizia midude yao tukashtuka mapema😀😀😀
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Mechi zote ziliahirishwa, Simba wakaomba mechi yao ichezwe baada ya kufanya analysis na kuona faida zaidi wakiicheza kuliko kuiacha. Mimi Yanga kindakindaki hapa nawapongeza Koloz kwa walichokifanya.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Akianza Novatus Dismas kiungio tunafungwa. Napendekeza aanze Mtasigwa

    Ni kama ulikuwa na hoja nzuri ila ushabiki umekuzidia hadi umepotea.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze

    Sawa. Ni jambo baya kutuhumu timu kama Yanga kutumia dawa za kuongeza nguvu kirahisi hivyo kwa zama hizi bro. Jambo baya sana, unless uwe na uhakika na hizo taarifa. Kuna vitu vingi mno vya kiufundi, kiutawala, kifedha, kijamii na hata kiimani pia ambavyo Yanga imewazidi timu nyingi hapa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Boka ana kipi cha ziada kumzidi Romalisa?

    Huyo Lomalisa anayesifiwa tulikaa naye miezi kadhaa hadi kuja kueleweka na kukubalika. Ilifika hatua Kibwana Shomari akawa preferred kuliko Lomalisa. Alipokaa sawa leo ndo tunayasikia haya. Achana na mashabiki maandazi especially from Koloz ambao mechi tano tu kwao msimu umeshaisha na...
Back
Top Bottom