Mwaka 2017 wakati naanza kujifunza lugha ya kichina niliangalia movie (au season sikumbuki vizuri) inaitwa the Victory. Moja ya sehemu niliona mmoja wa wahusika kwenye movie hiyo anamuuliza mwenzie 你叫什么名字?(nǐ jiào shénme míngzi?) Maana yake "unaitwa nani" ila mkalimani akasema "ana mwambia...
Mimi ni mtumishi wa ummah ajira za 2022. Mpaka sasa tumeshafikisha mwaka kazini na bado hatujapewa barua za kuthibitishwa. Kuna fursa nyingi zinatokea ila barua ukifatilia unaambiwa bado msubiri.
Kwamfano hapa karibuni lilitokea shavu TIE na chuo kimoja hivi nilipata nafasi ya kuhamia kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.