Recent content by akep

  1. akep

    JamiiForums Tanzania Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    Hebu wacha UPUMBAVU wewe Nancy.
  2. akep

    JamiiForums Tanzania Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    Huyu jamaa hana lolote. sasa yeye kukataa halafu kunyamaza wabunge wengine kununuliwa hayo mashangingi kuna tija gani kwa taifa? ningemuelewa kama angesimamia hilo zoezi la kurekebisha huo utaratibu wa ununuzi wa haya magari gari mapya ilihali yazamani bado yapo.
  3. akep

    JamiiForums Tanzania hodi jamvini

    habari za humu ndani? hii nikuwataarifu wana jamii forum ya kuwa namimi nimejiunga rasmi katika jamvi.
Back
Top Bottom