Huyu jamaa siye yule niliyemfahamu tukiwa pale bwiru boys secondary school. Sasa hv amekuwa kama mtu asiyeelewa chochote. Eti uhuru wa uchaguzi ni kukusanyika kwenye mikutano ya kampeni. Aache kujitoa ufahamu! Kwa akili yake anaona tuna tume huru ya uchaguzi?
Mtafute mume wake na msimamizi wa mwanaume, kaeni wanne ongeeni. Mwisho wa siku mtapata mwafaka. Pia ukiwakutanisha kama ni wakristo wa kilutheri wakumbushe wasome ukurasa wa 562 kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu. Wanaweza kukumbuka kitu.
Lowasa anatuhumiwa kuwa ni fisadi kwa kubase kwenye Richmond, je hamjui ya kuwa richmond anayotuhumiwa nayo lowasa ndo symbion ya sasa? Baada ya lowasa kukaa pembeni bei za umeme zishawahi kushuka zaidi ya kupanda kila mwaka? Mjadili mtu huku mkiweka wazi mnayoyajua mioyoni mwenu, acha kuwa...
'...machungu waliyoyapata kupitia huyu fisadi.' Na haya machungu watanzania wanayozidi kuyapata ni kupitia kwa nani? Mbona machungu ya sasa ni makubwa kuliko hata ya kipindi cha lowasa? Bora lowasa make alikuwa na uthubutu, ukikosea unawajibishwa huku wananchi tunaona lakin sasa hv ni kulia lia...
Mbona hii post wanaosapoti yaliyoandikwa humu ni wewe songoro na wenzako msiozidi wanne? Post inaonekana imechangiwa sana kumbe only few people ndo wanajaza server.
We Chabruma acha unafiki. Wewe si uko ccm? Serikali iliyopo madarakani si ni ya ccm? Kwa nn kama mnajua lowasa ni fisadi hamjamshitaki kwa matumizi mabaya ya madaraka kama ilivyo kwa mramba et al? Au kwa sasa mnasubiria sitta au membe au wassira ndo wakiingia ikulu wamfungulie mashtaka? Kwa...
Muda huu niko kwenye kivuko cha magogoni toka posta kwenda kigamboni. Kivuko kimeharibika katikati ya maji. TPA sasa hv ndo wanatusaidia. Hali ni mbaya sana.
Kwa kweli usafiri wa bukoba siku hizi ni shida tupu! Mohamed trans ndo basi lililokuwa linaaminika lakn hv karibuni limekuwa ndo baya kabisaaaa. Sumry ukiingia, unaweza kuhamisha siti moja ukaipeleka sahemu nyingine(siti zinabebeka), falcon hawana time na abiria zaidi ya mizigo yao wanayoibeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.