Recent content by Akasisi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

    Magufuli angenisikiliza japo Mimi mtu mdogo lkn namshauri asigombee Urais tena,,akapumzike !! Kila nikilala namuotea mambo mabaya kumkuta akiwa madarakani!!! Nakupenda sana mzee Magufuli kama ni historia ushaandikwa!! Mimi ni pacha ndoto zangu huwa zinanitisha maana asilimia 90% huwa zinakuwa...
  2. A

  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Asante mkuu
  4. A

    Ntaijuaje kesho yangu!!??? Na kama siijui kwanini niwe na shaka nayo??
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Mnafurahia nini kuongoza watu maskini wa kutupa!!!? Alafu kumbe kuandika hujui eti" kuikabithi"!!!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Mimi ni mnyoofu ndugu yng ila mnaofaidi keki ya taifa mnaona kama nawakera!! Kuleni tu wakuu msiwe na hofu wananchi mshawafanya wananchi wanyonge hawana ubavu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Ebu fikirieni kufuta ukoloni unaoendelea nchini achana na chadema
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Huu ni ujinga kuamini kila mwenye mawazo tofauti ni chadema!!! Of course kuwa chadema si kosa nchini mwetu ila walafi wa keki ya nchi mnadhani kila atakaewasema ni chadema
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Lkn sasa ntafanyaje ndugu yangu ni wazazi wangu lazima niwajibike
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    H Hizo lawama nshazipata sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Watu wanashangaa kwanini anahamisha makazi ya Rais kwenda anakotaka yeye anajibu" kwani nikifa nitazikwa wapi?” Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula. Rais...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Ila magufuli ana dharau yaani kahamisha Ikulu kienyeji alafu anajibu kirahisi kwani nkifa ntazikwa wapi,,Anasahau akifa sisi hatuna haja na maiti yake tunaweza kutupa hata baharini awe chakula cha Nyangumi
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Barikiwa sana mkuu
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Wife kwao ndo mkubwa, anaemfata nae binti na wa mwisho ndio dume yuko form 3
  15. A

Back
Top Bottom