Recent content by akamik

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Visa ya Uturuki (Turkey), nifanye nini?

    Nilisahau kuandika.. ni kwaajili ya matibabu [emoji4]
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Visa ya Uturuki (Turkey), nifanye nini?

    Habari ya jioni wanajamvi, Naombeni msaada nahitaji visa ya matibabu Uturuki. Vitu gani hasa vinahitajika ili nisije nikakosa na pia kunaugumu kiasi gani wakupata visa katika iyo nchi? Asanteni.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

    sehem gani mkuu mi jana nimezunguka sana na sijapata
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Fundi Ujenzi mzoefu nahitaji kazi.

    namba ya simu mbona hujaweka
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa soko la maharage ya kaki

    hunaelewa nini? ninamaharage aina ya kaki natafuta soko km kuna yoyote anaejua
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa soko la maharage ya kaki

    habari ya jion wanajamvi.naomba msaada wa KUPATA soko la maharage ya kaki
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    unaweza niunganisha nae nipate abc juu ya hizo biashara na wapi pakuanzaia? nikiku pm mesej zinagoma kuja sijajua shida nini. km hutojal nisaidie namba yako ili nikuchek
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    douh
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    I mean congo au sudani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    mkuu biashara gani kwa mfano kupeleka huko mahali
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    umeona eeh wanakera hataree
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    mfyuuu kama huna ushauri piga kimya unafikiri kila anaetaka kwenda nje anataka kuzamia..ndo mawazo yako yalipoishia eeh
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    ha ha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    ha ha sawa mkuu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata visa ya Australia

    asante
Back
Top Bottom