Recent content by Akali Trust

  1. Akali Trust

    Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Hili inabid mitandao huska waweke option ya kufuta namba usizozitambua, Kwa mhusika badala ya kwenda kwenye maduka Yao, maana Kuna wengine wako interior, inakuwa ngum kufika kwenye maduka Yao, binafsi Mimi ni mhanga wa kusajiriwa lain bila kujua.... Ila ingekuwepo option ya kufuta ningeziondoa...
  2. Akali Trust

    Natafuta Mashine ya kutengeneza chapati 300 kwa saa

    Kwa lisaa 50 uhakika, INA sukuma na kuchoma inatumia umeme, sasa hainitoshi kwa mahitaji yangu
  3. Akali Trust

    Natafuta Mashine ya kutengeneza chapati 300 kwa saa

    Kukoment sio lazima lakin
  4. Akali Trust

    Natafuta Mashine ya kutengeneza chapati 300 kwa saa

    Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
  5. Akali Trust

    SoC04 People near water bodies should receive education on sustainable fish farming

    Tanzania has enriched with abundant water resources ranging from big livers, dam, ocean, it has also advantage of being accessed by all continents easily through Indian Ocean, with good and conducive climate supporting varieties of fish species, It is also luck that these water bodies covers...
  6. Akali Trust

    SoC04 Infrastructure and Agriculture

    Infrastructure in this context will refers on all transportation networks, roads, railways ports, on the other hand, Agriculture includes Domestication, and cultivations of animal and crops respectively. We can not deny the fact that Tanzania is among of poor countries though she is rich in...
  7. Akali Trust

    Karibuni Bukoba Stores, tunauza vitu vyenye ubora kwa bei ya viwandani

    Tunawakaribisha watu wote kwenye hii fursa
  8. Akali Trust

    Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

    kwa ane elew vizuri inclusive fx plz naomba uzi
  9. Akali Trust

    Msaada FOREX

    samahanini naomben tu strategy nzuri zaid kwa wale wazoefu wa FX, I mean strategy kidogo yenye 90% of pip winning....
Back
Top Bottom