Recent content by AK Mastori

  1. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Wengi mnalichukulia juu juu. Pigeni hesabu za kiufundi pia. Hizi router zilizokuwa designed kwa matumizi ya nyumbani nyingi haziendi zaidi ya 30m. Na kama eneo lina vizuizi kama kuta au miti inaweza isifike hata 15m ukakutana na dead zone. Pia kuna changamoto ya ukomo wa idadi ya watumiaji...
  2. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Sounds ideal kimaneno. Kwa ground mchezo upo tofauti. Wengi wa mikusanyiko tunatumia wadau wenye wifi router. Kwa buku wanatupa unlimited access. Kama unanunua 3000gb kwa 400k ukiwa na 200 users wakitumia 15gb kila mmoja zimeisha. Haimake business sense. Alafu uanze kushindana na hao wa router...
  3. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Tajiri Kijana

    SURA YA 2 - MTEJA V.I.P Baada ya kufuatilia, Bilal alikuja kugundua kwamba baba yao alipoteza mawasiliano na mama yao baada ya kuondoka Tanzania kurudi nyumbani kwao uarabuni mwaka 2003. Alikuja Tanzania kwa ajili ya kutafuta fursa za biashara kabla ya kukutana na mama yao wakina Bilal na...
  4. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Tajiri Kijana

    SURA YA 1 - SAPRAIZ YA NGUVU likua maajira ya saa tatu usiku kwenye jengo la gorofa la hostel ya wanaume katika chuo kikuu cha Mbezi Beach. “Bilal, nenda gorofa ya kwanza chumba namba mia moja na nne uniletee laptop yangu!” Kijana mwenye kiduku aliamrisha baada ya kufungua mlango wa chumba cha...
  5. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa simulizi wa bongo huweka kazi zao mitandaoni bure?

    Lakini shida ni kwamba kazi ukishaiweka hivyo kila mtu anakwambia ni yake. Unakuta stori moja ipo magroup 10. Bado chances za mtunzi kufaidika zinakua ndogo sana.
  6. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa simulizi wa bongo huweka kazi zao mitandaoni bure?

    Habari wakuu. Ni swali tu nimejiuliza hili. Kuna kazi nyingi sana za waandishi ambazo zipo tu hata huku JF, tunazisoma bila ya wao kufaidika chochote. Natafuta lengo la kufanya hivo lakini kila ninalowaza halileti mantiki, lenye mantiki ni labda wanatoa sadaka kwa namna hii. Kwa wale waandishi...
  7. AK Mastori

    JamiiForums Tanzania Alitaka kumaanisha nini kwenye "Zombi hizi beat hazipigwagi"

    Ni hazipigwagi? Mimi nilijua anauliza 'Hazipikwagi' kwa maana sio za kuiba.
Back
Top Bottom