Sorry, kabla hatujaingia ktk mjadala kama huu, tujiulize je serikali inapotoa pesa kama hii ya mkopo chanzo cha serikali ni nini?, jibu ni kodi. Kama ni kodi je mtoto wa private school mzazi wake halipi kodi?.
Tunahamishwa nje ya mada, suala la katiba mpya linawekwa pembeni na story za mipasho. Hii ni kuipumzisha serikali na hoja za msingi wanazotakiwa kuzitolea maelezo ya kina.
Je kuna sheria katika nchi hii inayopanga kuwa gazeti fulani leo likiandika habari za padri kesho liandike habari za shekh ama serikali?. kama hakuna sioni kuna dhambi gani wao kuanduka juu ya hizo habari, pengine ndo zinalipa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.