Recent content by AJ 1977

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sheria ya United republic of Tanzanian

    Subiri wamtumie mkeo ndio utajua kama hilo alafu nitume jemba utasemaje 😪😑😑💋
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sheria ya United republic of Tanzanian

    Habari ma great thinkers,,naswali emoji (😁) maarufu kama hiyo, kuna watu wajua kutumia bila kuandika sms ,,ikaleta maana, kukutuna,,kukutongeza mke,,mtoto au chochote cha upande wa kushawishi, kuvuka maadili, maana inchi zingine watu washatumikia kifungo,,cha 6 miezi,,sasa kwetu ikoje...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa Kisheria

    Habari wakuu Nahitaji ushauri wa kisheria yupo mzee mwenye umri miaka. 80 alitokea hali duni kifedha hadi kufanikiwa sasa miaka 10 ilipita alikuwa mkorofi, fujo tupu mama mzazi alimfukuza Baada yakufariki mama alirudi kwa mzee, ,huko akiwa kipenzi cha mzee akapokelewa na akasema baba mimi...
Back
Top Bottom