Hii nchi hatufati sheria ya kiislam - kuweni waelewa.. tangu hapo mwanzo mtoto anapelekwa kuanzishwa darasa la kwanza anafundishwa kuhusu utawala anateuliea awe monitor au monitress= kifupi tu anafundishwa uongozi vipi! Ataweza kuongoza wengine na ndio mfumo uliopo kwenye vyama vyote ni uongozi...
[emoji23] Asante mkuu .. pesa ntaizungusha lakini kuhusu kumpa huduma hapana mkuu.. sitoweza ameshakuwa katika ndoa hakuna kitu na heshimu kama ndoa mkuu .. ukitoa vitu vingine vinavyoheshimiwa sana
Tatizo ni moja tu
Dhakari/mashine ya mwanaume uwa inasimama yaani Ina dinda wakati wa tendo
Sasa tatzo kwa wanawake wao hawadindi/hawasimami sasa icho ndio kikwazo na bado wanataka haki sawa..
Na wao wadinde/wasimamishe haiwezekani wanatutegea sisi tudinde waowasidinde halafu wanatuambia...
Pole sana mkuu sina cha kusema.. maana nawapenda wazazi wangu hatari naona ushahuri wangu kama ntawakandamiza wazazi wangu.. M/Mungu atukubali hivyo hivyo tu InshAAllah
Na hiyo inakuwa haiwezekanagi duniani yaani mtu awe mtu wa gym yaani yupo sex na et? Awe mtu wa harakati na kipato kizuri haiwezekanagi..
Ukikuta watu wa gym wanakuwa watu wa kutia huruma tu vizunga vingi na wengi wao marioo wa town..
Ila watu wa kazi na harakati nyingi na kipato kizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.