Recent content by aishapatel

  1. aishapatel

    Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

    kuna haja kubwa ya serikali kupitia tena taasisi hii,wananchi wanateseka sana.
  2. aishapatel

    Rais Samia, tupia jicho RITA na huduma yao yae-huduma

    Ninaomba sana Mheshimiwa Rais na Serikali itupie jicho huduma zinazotolewa na RITA kwakweli wananchi tunazungushwa sana kupata huduma bila sababu za msingi. Kwa sasa wameanzisha huduma ya kusajili vizazi na vifo kutumia mtandao lakini ukisajili maombi kupitia mtandaona kwenda HQ kufuatilia...
  3. aishapatel

    Nyumba anayodai Polepole imevunjwa siyo makazi yake ya kibunge, analaghai Umma akishirikiana na aliowakuza awamu iliyopita

    Mimi sio muumini wa namna hii ya siasa,mlipuuzia uvamizi wa Mbowe hivihivi mkasema kalewa Konyagi,tuwe tunathamini maisha ya watu.
  4. aishapatel

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa itahujumu bandari ya Dar na Tanga

    Hili la Bandari Bagamoyo mbona tumeshamaliza mjadala
  5. aishapatel

    Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Hakika mama anaucheza mwingi sana
Back
Top Bottom