Recent content by AishaMtamu

  1. AishaMtamu

    JamiiForums Tanzania Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

    Hakika nakwambia huu uzi ni mwiba saaana kwa upande uleee...povu litawatoka la mwaka..Umefafanua vizur hoja zako tatizo ni upande ule wataweza kumeza hahaha
  2. AishaMtamu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Ni ugonjwa mpya unaowasumbua watu wa mtaa wa ufipa...mkilala lazima muweweseke na Lumumba..muda wote mnawawaza watu wa Lumumba!Kwqn waliwafanya nn????
  3. AishaMtamu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Ndo lugha mlizozizoeq...una hamu ya kuchambwa ww sio bure
  4. AishaMtamu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Heheheh umenifurahisha kweli...wakikaa kimoyomoyo wanafurahiiiii
  5. AishaMtamu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Punguza wivu...tabia za kike hizo
Back
Top Bottom