Huu ni uzushi kabisa. Hakuna mteja alieanguka. Kuna mama mmoja ni teller alipata changamoto ya kiafya akaenda kupumzika hivyo wahudumu wakabaki wawili jambo lililopelekea foleni. Tuache kuzungumza vitu tusivyovifahamu wanajamvi
Hii taarifa nna mashaka nayo. Makato ya kutoa pesa ATM za NMB hayazidi 1,500. Taarifa za makato ya huduma zinapatikana kwenye tovuti yao kupitia link hii;
StackPath
Hizi issue huwa nazisikia sana zikiwatokea wazee wetu. Jamani tuweni makini, usikubali kumpa mtu simu yako akufanyie usajili wa nmb Mkononi au kumpatia mtu password yako.. Ni bora mtu uingie tu ndani ya tawi maafisa wa benki wakusaidie kujisajili. Pole sana kwa mama yetu naamini vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.