Recent content by aise

  1. aise

    JamiiForums Tanzania Who is your best JF member of all time?

    Haya ni majibu mazuri mkuu, Niko upande wako.
  2. aise

    JamiiForums Tanzania Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

    Dagaa chukuchuku halafu unaweka na ndimu 🏃
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu ukivipoteza Maishani, hata Pesa haiwezi kuvirejesha

    Hivyo vitu ambavyo havinunuliwi kwa pesa vinanunuliwa Kwa Nini?
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Kunenepa nyuma ya shingo tu ni ugonjwa?

    Kwani kibiongo si ndiyo kichogo au! Pia Kuna msemo unasema kitambu Cha mkulima ni kibiongo msaada tafadhali
  5. aise

    JamiiForums Tanzania Kunenepa nyuma ya shingo tu ni ugonjwa?

    Dah haya maisha mwanaume ni kama hatakiwi kuishi kabisa! Tukipata vitambi mnatusema, tukinenepa mnatusema. Tukinenepa Shingo tunasemwa pia.
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu ukivipoteza Maishani, hata Pesa haiwezi kuvirejesha

    Kwenye Biblia imeandikwa PESA NI ULINZI, ndiyo ujue umuhimu wake kwenye maisha ni level za juu Sana.
  7. aise

    JamiiForums Tanzania Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Alienda Kwa kutumia chombo Gani? Jibu: Alienda na Punda. Na watu wanakubali 🤔
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Neema Gosple Choir mmeshindikana

    Kwaya Ina watu, Kila mtu na utashi wake. Watu zaidi ya 24 lazima watatombana tu
  9. aise

    JamiiForums Tanzania Neema Gosple Choir mmeshindikana

    Jipe moyo
  10. aise

    JamiiForums Tanzania Neema Gosple Choir mmeshindikana

    Kwanza kabisa acha kula kitimoto. Jumamosi wahi somo la lesoni
Back
Top Bottom