SABABU KUBWA ZILIZOIFANYA SERIKALI KUJITOA KWENYE MCC-2.
Kilichofika nyuma ya MCC-2 ni zaidi ya wengi wetu tunavyooaminishwa.
Kwa kifupi Serikali ndo imekataa masharti magumu yaliyo kwenye Mkataba wa Phase tu. Miongoni mwa Masharti hayo ni Pamoja na TANESCO kujitoa kwenye uzalishji Umeme na...
sio tumeshindwa sema ww ndiye uliyeshindwa.. ww ni mkata tamaa mkubwa thats why you are not in power. tuache wapambanaji tupambane ww uliyeshindwa kaa kando fanya mambo mengine. usipoteze muda kuandika hapa maana umeshasema ungekuwa kwenye power usingepoteza muda wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.