Recent content by Air Jordan

  1. Air Jordan

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya ku apply TCU

    Habari, naomba msaada kwenye Ku apply kidogo, Mimi nlianza kuomba tangu awamu ya kwanza Ila sijawahi kupata Wala nafasi kwenye faculty nlizo omba hazijawahi kujaaa mpaka leo pia Nina division 2, sijajua tatizo ni nini, Wala program rejection hawaandiki kitu, nikiwapigia hawapokei, nifanyeje?
  2. Air Jordan

    JamiiForums Tanzania Benki zadaiwa kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana!

    Mambo magumu Then naona wengine wanafurahi kuona unapata vikwazo
  3. Air Jordan

    JamiiForums Tanzania Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    That's crazy
Back
Top Bottom