Recent content by Ailinda1966

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Mwanamke kumpenda mwanamme ni kiherehere tu na kutokujiamini. Kazi ya kupenda kapewa mwanamme. Mwanamke kazi yake ni kumtii na kumheshimu mwenza wake.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

    Nini kilitokea hakuolewa na X kama mkwe na mashemeji walimpenda. Pole kwa changamoto
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Si kasema hapo ndio kwanza anaingia kwenye mapenzi. Student bado[emoji1787] hajajua kipi akiandike wapi. Msamehe, akikua ataacha
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa unamuachia mkeo Tsh ngapi asubuhi?

    Royco ya nini na shida hizi. Kikubwa kushiba Nyanya 200 Kitunguu 200 Matuta 500 Mchicha 1000
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

    Kwani tatizo ni nini? Akiachwa haruhusiwi kuolewa tena
Back
Top Bottom