Recent content by Aikasia James

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uzalendo ndani ya mtoto wa Tanzania

    Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo. Lakini kama mashuleni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ndani ya kazi

    Tunajua kwamba elimu ni kitu ambayo tunaenda kuongeza maarifa na kufungua akili zetu.Pale ambapo akili za kawaida zinaishia ukiongezea na za elimu basi tunaweza kuvuka kona nyingine.Lakini elimu kazi ni kama vile kwenye kutoa mafunzo shuleni. Kuna baadhi ya shule watoa elimu za kisanaa kama...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Sanaa Inavyoweza Kukuza Uchumi na Kuendeleza Utamaduni Wetu

    Kwa nchi kama India, Korea, na Marekani, sanaa imekuwa ni moja wapo ya kazi inayoongeza uchumi kwa taifa. Kwa mfano, Korea wako vizuri kwa kuonyesha utamaduni wao na hata kuonyesha historia mbalimbali ya nchi yao. Lakini sisi pia tunayo historia mbalimbali kuhusu nchi yetu, mfano jinsi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nashauri Ajira za masaa kupunguza tatizo la ajira nchini

    Shida kubwa ni ajira kwa vijana wa sasa lakini kuna uwezekano wa kazi za masaa kama ilivyokuwa hospitalini kwamba kuna daktari ataingia usiku na mwingine asubuhi. Makampuni hapa Tanzania ni mengi kidogo lakini pale ambapo vijana watafanya kazi kwa masaa hata idadi ya wasioajiriwa itapungua...
Back
Top Bottom