Recent content by AID

  1. AID

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mwakaleli sec school, wilaya Busokelo, mkoa Mbeya, msaada wajoining instructions,, naomba nitumie whatsapp,,,, 0621147361
  2. AID

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Msaada kwa shule ya Mbeya, jina la shule mwakaleli nimejaribu kufungua haifungiki hyo joining instructions
  3. AID

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unayokutana nayo unapokutana na marafiki waliofanikiwa katika maisha?

    Wakati mwingine huwa kuna wenzetu walio wahi kufanikiwa wanapenda kujitenga sana hasa wakija kitaani,, kwahiyo huwa wanaona ambao bado kama hatuna hadhi kwao.. Ila kama mm nikikutana naye nampa hai kawaida tu sinaga kinyongo akipenda kupiga story yy tuuuu
  4. AID

    JamiiForums Tanzania Pat viatu vya kiume kwa bei poa

    Mfano sisi wamikoan tunazipata VP mkuu??
Back
Top Bottom