Finally tutakosa imani na rais wetu.mi nili fikiri bei zinavyo kua juu raisi antuonea huruma kumbe na yeye ndo anashinikiza....."bola kujali utu na sio pesa" VS "bola kujali pesa na sio utu"nani zaid.......?
Ushirikina haupo kwenye picha tuu.ni wangap washirikina wanakamatwa makanisani na misikitini na wanashika vitabu vya mungu na Kuvisoma vizuri.ushirikina kwenye vyombo vya usari kwa Mimi naamini 50% kwasabab nimeambiwa na madereva na wadau wengi ila 50%siamini kwasababu sijawah kushuhudia ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.