Recent content by Ahm bokee leh

  1. A

    Anwani ya kutuma barua yako jkt kwa form vi ambao hawataki kuja jeshi tar.28 sep!

    yah unaweza kutuma kwa njia ya ems kama utamaliza mapema kidogo
  2. A

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Jf raha kwel kwel kwan kuna vichaa wengi sana wasioelewa n nini kinaendelea. Kama ww ni mwanachuo ushaukwaa usiache na mwenzako aupate mpe reality ya maisha pindi atakapokuwa chuoni ili azid kujilinda, ukijua kuzaa ujue kutoa ushauri na kulea pia same applied ukiwa msomi ujue pia kutoa maneno ya...
  3. A

    habari za uhakika kutoka HESLB.

    Tumevurugwa sisi tumevurugwa kumbe akina snura huona mbali aisee
  4. A

    Msaada : Ardhi university admission letter.

    KUNA LIST YA PROGRAMS HUONYESHWA BAADA YA KUCLICK ADMISSION LETTER. SELECT YOUR PROGRAME THEN DOWNLOAD UTAPATA MAELEZO. M MWENYEWE NME2MIA NJIA HII NA NIMEPATA MAELEZO unique
  5. A

    ubakaji jkt

    Kubaka ni penzi la suprise kwa yule unayempenda
  6. A

    Msaada ardhi university

    Bima ninayo2mia inajina la ubin ambalo hupatkana kwenye chet changu cha kuzaliwa ingawa cltumii kama official name ktk career yangu. Ila bima n ya kwangu niliyo andaliwa na mtu aliyekuwa mbali namimi. Je hili haliwezi kuwa tatizo ktk kucomfirm data?
  7. A

    Msaada ardhi university

    Kwa wanaaru na yeyote mwenye uelewa kuhusiana na swala la medical capitation fee inakuwaje kwa wale tunaotumia bima za taifa tunapaswa kuilipia hiyo fee au 2tatumia bima zetu za nhif moja kwa moja? Naomba msaada wako
  8. A

    the best UNIVERSITY in TANZANIA

    Kiiman au kielimu? Eleza kinaga ubaga
  9. A

    Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

    Bachelor of science in urban and regional planing vp ajira zake jaman?
  10. A

    Selected candidates ardhi university 2013/14

    Pamoja sana mkuu vp malipo ya tution fee coz me wa urp nimeandikiwa 1300000, inakuaje naomba unisaidie utaratibu hapa mkuu.
  11. A

    selected students ARU

    Anayebisha shauri yake
  12. A

    Mwaka wa 1 ardhi university

    Nashukuru sana kwa maelezo yako yakinifu. Vp kuhusu kiwango cha pesa kinacho hitajika siku ya kuripot hapo chuon?
Back
Top Bottom