Baadhi ya wachangiaji mmeshaambiwa na mtoa post msiwe na mihemko katika kuchangia badala yake angalieni kama kuna hoja ndiyo mjibu
mtoa posti amesema kuna baadhi ya upotoshaji unafanywa na chombo hicho na akatolea mfano wa mtu asiyekuwa kiongozi wa Chama hicho kupewa cheo cha katibu wa uenezi...
lowasa ,sumaye kufanaya kazi kwenye jukwaa moja eti ni mashujaa ila zitto na dr.slaa kufanya kazi kwenye jukwaa moja ni wasaliti,msijitoe ufaham nyinyi mazwazwa na misukule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.