Recent content by ahbakari26

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University kulikoni?

    Sio wapuuzi bali tafuta backgraound ya msabila na aliyeko sasa ndo utajua kwann alihamishwa akapelekwa library...... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) bila kutumia CD

    Tafuta kitu inayoitwa rufus.. Hii rufus ni ya kutengenezea bootable na ni lazima uwe image ya window unayotaka then ukishaifanya flash iwe bootable then nenda kwenye pc yako kwenye booting sequence weka usb iwe ndo ya kwanza kuboot mengine itajielekeza enyewe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom