Recent content by ahamwiga

  1. A

    JamiiForums Tanzania KANUNI ZA MAFAO YA KUSTAAFU ZA 2018 GN. Na.647 ya tarehe 17/08/2018

    Mfuko wa PSPF kabla ya kuunganishwa kwa Mifuko, Mtaafu aliyetumikia miezi 423 alilipwa kiasi cha Shs. 103,228,450 kwa mshahara wa mwaka mzima wa Shs.17,004,000/= Je,kwa Kikokotozi cha mfuko huu wa PSSSF atalipwa kiinua mgongo kiasi gani? naomba anayejua fomula hii anisaidie kujua.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya kutoa amri ya kumkamata Hakimu, sheria ipi inayompa mamlaka

    Ninavyo jua mimi Nchi hii inaongozwa kwa Sheria,Kanuni, na Taratibu, nimesikia katika vyombo vya habari kuwa Mkuu wa Wilaya alitoa Amri ya kukatwa kwa Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo kwa madai kuwa alitumia vibaya kalamu yake kutoa maamuzi yaliyo sababisha shamba la mkulima mmoja kuuzwa, Ninajua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    Mmmm, "Haya yote yalisababishwa na Nyerere" fafanua basi tukuelewe!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni sheria ipi inayowapa mamlaka kupiga raia na kuwaadhibu kwa adhabu za kijeshi?

    Ilikuwa jana majira ya jioni,moto ulionekana kuunguza mbuga katika eneo la Jeshi Kikosi cha Ihare nyuma ya Uwanja wa Ndege Jijini Mwanza. Abiria tulishushwa ndani ya Bus na Askari wa Jeshi la Wananchi kwenda kuzima moto. Abiria tuliitikia amri hiyo tukazima moto na kupanda Bus letu. Wakati sasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuendesha pikipiki ki-biashara

    Vijana walio wengi wamejikita katika biashara ya kuendesha Pikipiki ili kuweza kujipatia kipato. Vijana hawa wanafanya kazi hiyo tangu asubuhi hadi usiku kucha. Dr. naomba kujua; Je, uendeshaji wa Pikipiki kwa muda mrefu pasipo tahadhali ya mavazi rasmi kujikinga baridi na vumbi yaweza kuleta...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Haki za wanawake katika rasimu ya katiba mpya ni za ubaguzi!

    Ibara ya 13(4) katiba ya Tanzania marekebisho 1977 inasema kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi au ya chama na vyombo vyake. (5) Kwa madhumuni ya...
Back
Top Bottom