Habari najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke wa kuoa nipo serious na ombi langu ninalo lileta kwenu.
Naitwa Jackson mwenye umri wa miaka 34.Nina Elimu ya chuo kikuu,mimi ni mweusi ,kabila mnyamwezi ,dini mkristu,sijawahi kuoa,mtoto sina,.sigara situmii,pombe sinywi,kazi mwajiriwa,nina...