Recent content by Aguthadeus

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua vigezo, utaratibu na gharama za kuregister ussd code

    Asante mkuu, unaweza ukanipa mfano wa makampuni yanayotoa hizi huduma za kushare ussd hapa bongo?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua vigezo, utaratibu na gharama za kuregister ussd code

    Habari za leo wadau, nilikuwa naomba kujuzwa na mtu ambaye tayari ameshafanya project yoyote ya USSD au anajua mtu atakayeweza kunipa undani wa hili swala. Ninataka kutengeneza application ambayo nitaweza kuunganisha kwenye backend yangu, backend hyo itakuwa inainteract na ussd kutoka kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa apps kurun background

    Background data inacontrol iwapo application iwapo application itaweza kuruhusiwa kutumia intanet ikiwa background (App inawekwa background endapo haitumiki directly na mtu) kwa hyo ukiweka background data off unazuia tu app zisiweze kupata intanet zikiwa background lakini huzuii uwezo wa app...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mr Zumo-usiku usiingie

    Ana kipaji sana huyu jamaa, nimesikitika kuona mtu kaandika kuwa amefariki, ni kweli au watu mnazusha tu?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kurudisha namba au sms

    Kuna app zinaweza backup sms, call logs na contacts pia, nzuri nnayotumia inaitwa "Easy Backup" Easy Backup & Restore - Android Apps on Google Play
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kurudisha namba au sms

    Kama unatumia android na umeweka account ya google inasave contacts zako automatically unaeza tumia Sign in - Google Accounts kuzichek, kuhusu sms kama hujabackup sidhani kama znaweza kurudi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Reverse engineering

    Cryptolocker ni app gani mkuu?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia Flash Kama Password ya Kompyuta Yako

    Mtu akicopy content za flash je, si yeyote ataweza kufungua?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dab emoji

    Duuh mbona majibu ya kebehi tena??, kama hamna au hujui c unampa mtu jibu straight
Back
Top Bottom