Recent content by Agrorate

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kila wiki tunalala giza na kushinda bila umeme zaidi ya mara mbili,nadhani hapa kuna shida ya uwajibikaji,pia mnadhalilisha Rais wetu mpendwa kwani ni mtu makini anehitaji ufanisi wa dhati ili kuwaletea wananchi maendeleo. Tunawaomba kama mmeshindwa kazi semeni
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

    Umenena vema
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ya Magufuli inataka kuzika upinzani ifanye haya; vinginevyo mtafeli kama watangulizi wenu

    Kumbe anajaza maji kwenye tenga
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyalandu hagombei ubunge!

    Polisi ni janga la demokrasia
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyalandu hagombei ubunge!

    Hakuna haja ya upinzani kushiriki huo uchaguzi!!matokeo yashapangwa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Hamsafishiki
  7. A

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu

    Lema anakipaji cha kuwatambua wasaliti,hiyo ni kero kwa wasaliti
  8. A

    JamiiForums Tanzania Stress za viongozi wa CCM ni dalili chama kipo mbioni kupotea

    Umenena sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Stress za viongozi wa CCM ni dalili chama kipo mbioni kupotea

    Shikamoo mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    Mbona Kufuli J P anawateua ilihali na wapuuzi???vichwa vipo Chadema ww
  11. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Weka itikadi kando,RIP mh.Gama
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Msiache kumuombea Tundu Lissu,mngeyajuaje haya
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Inzi wa kijani
Back
Top Bottom